WBO

Public board illustration

Karibu kwenye WBO!

WBO ni ubao mweupe wa kushirikiana mtandaoni huru na chanzo-wazi unaowawezesha watumiaji wengi kuchora kwa pamoja wakati mmoja kwenye ubao mkubwa wa kawaida. Ubao husasishwa kwa wakati halisi kwa watumiaji wote waliounganishwa, na hali yake huhifadhiwa kila wakati. Unaweza kuutumia kwa matumizi mengi tofauti, ikiwemo sanaa, burudani, usanifu, na ufundishaji.

Kufanya kazi na mtu kwenye ubao mweupe, shiriki tu URL husika.

Ubao wa umma unapatikana kwa kila mtu. Ni fujo yenye furaha isiyo na mpangilio ambapo unaweza kukutana na wageni wasiojulikana na kuchora pamoja. Kila kitu humo ni cha muda mfupi.

Nenda kwenye ubao mweupe wa umma

Unaweza kuunda ubao mweupe wa faragha na jina la nasibu ambalo linaweza kufunguliwa tu na kiunga. Tumia hii ikiwa unataka kushiriki habari za kibinafsi.

Unda ubao mweupe wa faragha